Msanii ni kioo cha jamii J? Nikki 2 alikua sahihi?




Huyu jamaa ali post katika ukurasa wake wa tweeter kama inavyo onekana hapo juu,kwa upande wangu ange ainisha kitu gani hasa kifanyike siokutoa kauli ilio kata taamaa na pia akumbuke kua yeye ni kioo cha jamii jaamii nzima inamtazama yeye vipi ata eleza jamii imuelewe, kwa hio wasanii msitumie nafasi zenu vizuri.

Comments

Popular Posts